Sintofahamu yaibuka Congo | Matukio ya Afrika | DW | 13.11.2018
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Afrika

Sintofahamu yaibuka Congo

Viongozi wawili wa vyama vya upinzani katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wamejitoa katika makubaliano ya kumuunga mkono mgombea mmoja wa upinzani. Felix Tshisekedi wa chama cha UDPS na Vital Kamerhe wa UNC

Sikiliza sauti 02:22