Sinema katika migahawa Afrika Kusini | Anza | DW | 10.07.2015
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Anza

Sinema katika migahawa Afrika Kusini

Calvin Phalaa ana umri wa miaka 24. Ana mashine ya sinema kuonyeshea filamu kwa watu wa mji alikozaliwa wa Siyabuswa. Kutokana na teknolojia ya kisasa, amekuwa bingwa wa burudani.

Tazama vidio 03:09