Simba walio katika hatari ya kutoweka | Media Center | DW | 15.06.2018
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Simba walio katika hatari ya kutoweka

Simba wako katika hatari ya kuangamia na yote ni kutokana na mzozo kati ya wanyama na binadamu. Wanyama hawa walio katika jamii ya paka, ni miongoni mwa kundi kubwa la "Wakubwa Watano", yani wanyama watano wakubwa wa pori nani muhimu sana kwani watalii husafiri katika nchi za Afrika mahsusi kuwaona wao.

Tazama vidio 03:08
Sasa moja kwa moja
dakika (0)