1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Simba kileleni mwa ligi ya soka Tanzania Bara

Josephat Charo
3 Oktoba 2022

Ligi kuu ya soka Tanzania bara inaendelea huku Dar Young Africans wakikwaana na Ruvu Shooting. Wekundu wa Msimbazi Simba wako kileleni mwa ligi hiyo. Kwa mengi zaidi sikiliza ripoti ya mwanamciehzo wetu Mhindi Joseph. (pichani)

https://p.dw.com/p/4Hh7G