1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Siku ya Uhuru nchini Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo

30 Juni 2008

Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo imeadhimisha hii leo miaka 48 tangu ipate uhuru kutoka kwa mkoloni wake Ubelgiji.

https://p.dw.com/p/ETbC
Rais Joseph Kabila wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya KongoPicha: AP


Akihutubia taifa raïs Joseph Kabila ameahidi kudumisha amani na kupambana na kutotolewa adhabu nchini mwake.

Taarifa kamili na mwandishi wetu Saleh Mwanamilongo.