Siku ya mwisho kwa viongozi wa wapiganaji kuweka silaha chini mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo | Matukio ya Kisiasa | DW | 14.05.2008
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Matukio ya Kisiasa

Siku ya mwisho kwa viongozi wa wapiganaji kuweka silaha chini mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo

Leo ni siku ya mwisho kwa viongozi wa makundi ya wapiganaji katika mikoa ya kivu kusini na kaskazini huko mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo.

Viongozi hao kesho wanatazamiwa kuwasilisha ripoti ya kampeni zao kwenye tume ya pamoja inayohusika na amani.


Mwandishi wetu John Kanyunyu ametutumia ripoti ifuatayo.

Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com