1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Siku ya Mtoto wa Afrika

Grace Kabogo
16 Juni 2020

Leo ni Siku ya Mtoto wa Afrika, ambapo tunakumbuka mauaji waliyofanyiwa wanafunzi wa Soweto, Afrika Kusini Juni 16 mwaka 1976. Mtoto huwa anakumbana na changamoto kadhaa, basi ni wajibu wa jamii kuhakikisha vikwazo kwa mtoto wa Afrika kupata elimu bora vinaondolewa na kuangalia vipi watoto wanaweza kuripoti kuhusu ukiukaji wa haki za binadamu wanaofanyiwa.

https://p.dw.com/p/3dqkc