1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Siku ya Kimataifa ya Demokrasia inakumbukwa vipi na wanaharakati?

Grace Kabogo
15 Septemba 2020

https://p.dw.com/p/3iUMx

Siku ya Kimataifa ya Demokrasia Duniani inaadhimishwa kila Oktoba 15, ni siku ambayo inatumiwa na Umoja wa Mataifa katika kusisitiza umihumu wa demokrasia kwa mataifa wanachama. Je siku hii inakumbukwa vii na wanaharakati? Sudi Mnette amezungumza na mpigania demokrasia kutoka Dar es Salaam, Tanzania, Fatma Karume kutaka kufahamu zaidi namna wanaharakati wanavyoikumbuka hii siku.