1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Sikiliza kipindi cha Karibuni ambapo mwanamuziki Nyota ndogo anaeleza historia yake

1 Desemba 2006

Maisha ni kitendawili hilo amelishuhudia Nyota Ndogo katika maisha yake ambapo wazazi walikuwa maskini na hivyo hakuweza kumaliza masomo

https://p.dw.com/p/CHm3
Juu ya mengi zaidi kumhusu mgeni huyo wa wiki katika karibuni Saumu Mwasimba anawachukua katika ukumbi huo wa raha