SI MUSTAFA.Kundi la Islamic Maghreb limekiri kufanya mashambulio ya mabomu | Habari za Ulimwengu | DW | 14.02.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

SI MUSTAFA.Kundi la Islamic Maghreb limekiri kufanya mashambulio ya mabomu

Kundi la Islamic Maghreb linaloshirikiana na kundi la kigaidi la Al Qaeda limekiri kuhusika na mashambulio ya mabomu ya hivi karibuni nchini Algeria.

Watu sita waliuwawa na wengine 30 walijeruhiwa katika mfululizo wa mabomu saba yaliyolipuka mapema jana katika eneo la mashariki mwa mji mkuu wa Algiers.

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com