1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Shule zafunguliwa Kenya baada ya miezi 10 ya kufungwa

5 Januari 2021

Baada ya shule kufungwa kwa miezi 10 iliyopita nchini Kenya kufuatia janga la virusi vya corona, hatimaye wanafunzi wote sasa wameruhusiwa kurudi shuleni ili kuendelea na masomo yao. Hata hivyo shule zimefunguliwa chini ya masharti mapya kwa lengo la kuzuia maambukizi zaidi kutokea. Thelma Mwadzaya anaeleza zaidi kutoka Nairobi.

https://p.dw.com/p/3nXA9