Shughuli za hatari za kampuni ya Blackwater. | Matukio ya Kisiasa | DW | 26.02.2008
 1. Inhalt
 2. Navigation
 3. Weitere Inhalte
 4. Metanavigation
 5. Suche
 6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Matukio ya Kisiasa

Shughuli za hatari za kampuni ya Blackwater.

Licha ya kutuhumiwa kutenda uhalifu kampuni ya Blackwater haijachukuliwa hatua za kisheria

Askari wa kampuni ya Blackwater ya Marekani nchini Iraq.

Askari wa kampuni ya Blackwater ya Marekani nchini Iraq.Kampuni ya ulinzi Blackwater ya Marekani ambayo imeajiriwa na utawala Bush kulinda usalama nchini Irak, mwaka jana ilihusika na mauaji ya raia 17 mjini Baghdad.

Pia pana madai kwamba kampuni hiyo inajihusisha na biashara ya silaha.

Raia hao walidaiwa kuwa na nia ya kuwashambulia wamarekani.

Wairaki wengine 24 walijeruhiwa katika shambulio hilo.

Lakini tofauti na mikasa mingi mingine, tukio hilo lilizingatiwa kwenye bunge la Marekani lakini hakuna hatua yoyote thabiti iliyochukuliwa dhidi ya kampuni hiyo ya Blackwater.

Mwandishi na mchapishaji wa Marekani Jeremy Scahill amendika kitabu juu ya shughuli za kampuni hizo ambazo ameziita kuwa ni majeshi ya watu binafsi. • Tarehe 26.02.2008
 • Mwandishi Mtullya, Abdu Said
 • Chapisha Chapisha ukurasa huu
 • Kiungo https://p.dw.com/p/DDkj
 • Tarehe 26.02.2008
 • Mwandishi Mtullya, Abdu Said
 • Chapisha Chapisha ukurasa huu
 • Kiungo https://p.dw.com/p/DDkj
Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com