Shirika la UNICEF nchini Kongo limeingilia kati kuhusu kuachiwa kwa watoto 80 walioshikiliwa na waasi wa LRA | Matukio ya Kisiasa | DW | 24.09.2008
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Matukio ya Kisiasa

Shirika la UNICEF nchini Kongo limeingilia kati kuhusu kuachiwa kwa watoto 80 walioshikiliwa na waasi wa LRA

Juhudi za serikali ya DRC ya kuwasaka waasi wa FDRL wa Rwanda na wale wa LRA wa Uganda zikingali mbali kuzaa matunda mazuri kwa raia wa kongo.

Waasi wa LRA

Waasi wa LRA

Wiki iliopita watoto zaidi ya 80 wa shule ya msingi walikamatwa na kupelekwa porini na waasi wa LRA baada ya kuunguza shule yao kwenye mji wa DUNGU jimboni ORIENTALE.Shirika la UNICEF limeomba kuachiliwa kwa watoto hao,kama anavyoripoti mwandishi wetu Saleh Mwanamilongo.


Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com