Shirika la Ujerumani lawasaidia waathirika wa ukoma Tanzania | Media Center | DW | 20.02.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Shirika la Ujerumani lawasaidia waathirika wa ukoma Tanzania

Baada ya kutengwa na kunyanyapaliwa kwa muda mrefu, waathirika wa ukoma nchini Tanzania wamepata matumaini tena kupitia msaada wa shirika la Kijerumani la German Leprosy Relief Association - GLRA. Hawa Bihoga aliwatemebea kwenye maskani yao ya kuandaa ripoti ifuatayo.

Tazama vidio 04:03