Shinikizo ndani ya Chama cha Chadema ili wabunge waso watiifu wafukuzwe | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 27.11.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

Shinikizo ndani ya Chama cha Chadema ili wabunge waso watiifu wafukuzwe

Nchini Tanzania, baadhi ya wajumbe wa baraza la wanawake la Chama cha demokrasia na maendeleo BAWACHA, mapema leo walifika makao makuu ya chama hicho, Kinondoni Mtaa wa Ufipa, jijini Dar es Salaam, kushinikiza wanachama 19 walioapishwa kuwa wabunge wa viti maalumu kufukuzwa kwenye chama hicho.

Tazama vidio 02:52