1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

SHINDANO

6 Novemba 2015

Jishindie zawadi kemkem!

https://p.dw.com/p/1FtqY
Logo Ostafrikanische Gemeinschaft EAC

Ni wakati wa kujishindia radio, kofia na vingine lukuki kutoka DW. Ni rahisi. Jibu swali hili. Ni nchi gani ya Jumuiya ya Afrika Mashariki itakayofanya uchaguzi mkuu Februari mwakani miongoni mwa zifuatazo? Je, ni Uganda, Rwanda, Burundi, Tanzania au Kenya? Tuma jibu lako kupitia sanduku la barua 70087, Dar es Salaam,au andika moja kwa moja kupitia anuani 53110, Bonn, Germany au barua pepe kiswahili@dw.com Changamka uibuke na ushindi!