Shindano la Papo kwa Papo | Media Center | DW | 07.12.2017
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Shindano la Papo kwa Papo

Kumbuka simu yako aina ya smartphone yatosha kukupa zawadi nono kutoka DW. Shiriki shindano la Papo kwa Papo kwa kutuma video halisi uliyorekodi mwenyewe isiyozidi dakika moja. Kisha tutumie kwa njia ya barua pepe pkp@dw.com au kwenye ukurasa wetu wa WhatsApp. Kwa njia ya WhatsApp, kwanza subscribe http://bit.ly/1Q86kjt ndipo video yako ifike kwenye ukurasa wetu.

Tazama vidio 01:01
Sasa moja kwa moja
dakika (0)