SHINDANO LA KOMBE LA DUNIA | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 20.05.2014
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

IDHAA YA KISWAHILI

SHINDANO LA KOMBE LA DUNIA

Ulimwengu unakusanyika nchini Brazil katika dimba kombe la dunia kuanzia Juni 12 hadi Julai 13.

Kombe la dunia 2014 nchini Brazil

Kombe la dunia 2014 nchini Brazil

Ni wakati wa kushangilia kila pasi, chenga, na mabao ya kipekee.

Nawe pia unaweza kusherehekea kwa kujishindia Redio, iPods, mipira…na zawadi nyingine kemkemi!

Tuambie unadhani mara hii kombe la dunia litapelekwa nchi gani?

Tuma jibu lako kupitia SLP

70087 Dar es salaam

7016 Kampala

1327 Kigali

Unaweza pia kutuma moja kwa moja kupitia SLP 53110 Bonn, Germany au barua pepe kiswahili@dw.de

Shindano hili linakamilika Julai mosi

DW Tunavuma kwa kishindo

Matangazo

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com