1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Sherehe za Eid ul Adha nchini Tanzania

Hawa Bihoga (Hon)21 Julai 2021

Waumini wa dini ya kiislamu nchini Tanzania wamesherehekea leo sikukuu ya Eid al Adha ambayo ni sherehe ya kuchinja. Katika ujumbe wa sala ya Eid, waziri Mkuu Kassim Majaliwa amegusia janga la virusi vya corona.

https://p.dw.com/p/3xmSb
Tansania Dar Es Salaam | Kariakoo Markt | Händler
Picha: Said Khamis/DW