1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Sheikh Issa Ponda afikishwa mahakamani mjini Dar es salaam

18 Oktoba 2012

Katibu mkuu wa Jumuiya ya waislamu Sheikh Issa Ponda amefikishwa mahakamani hii leo (18.10.2012) baada ya kukamatwa hapo jana kwa shutma kuwa amehusika katika ghasia zilizotokea katika eneo la Mbagala nchini humo.

https://p.dw.com/p/16Rrw
Jiji la Dar Es Salaam ,Tanzania
Jiji la Dar Es Salaam ,TanzaniaPicha: DW /Maya Dreyer

Amina Abubakar amezungumza na mwandishi wetu Abubakar Liongo akiwa mahakamani na kwanza ana haya ya kutueleza.

(Kusikiliza mazungumzo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini)

Mwandishi Amina Abubakar

Mhariri Josephat Charo