SHANGHAI: Rais Köhler akamalisha ziara ya China | Habari za Ulimwengu | DW | 26.05.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

SHANGHAI: Rais Köhler akamalisha ziara ya China

Rais wa Ujerumani,Horst Köhler amemaliza ziara yake ya siku nne nchini China.Katika hotuba ya kuhitimisha ziara hiyo kwenye Chuo Kikuu cha Shanghai,Köhler alitoa mwito kwa China kushirikiana kupambana na tatizo la kubadilika kwa hali ya hewa duniani.Kwa mara nyigine tena alitoa wito wa kuhifadhi haki za binadamu.

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com