1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

SHANGAI:Maelfu wahamishwa kuepuka kimbunga

18 Septemba 2007
https://p.dw.com/p/CBOm

Kiasi cha watu laki mbili wamelazimika kuhamishwa kufuatia kimbuka kikubwa kinachoeleka kuikumba pwani ya Mashariki mwa China.

Kimbunga hicho kitwacho Wipha, kinakwenda kwa kasi ya kilometa 20 kwa saa na kinatarajiwa kulikumba eneo la kusini mwa mji wa Shangai usiku wa manani kwa saa za huko.