1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
JamiiMarekani

Shambulio la New Orleans ni tukio la kigaidi

2 Januari 2025

Shirika la upelelezi la Marekani FBI limesema tukio la mtu kulivurumisha gari kwenye umati wa watu waliokuwa wakisherehekea mwaka mpya mjini New Orleans ni la kigaidi.

https://p.dw.com/p/4okx3