Shambulio la anga huko Somalia lauwa watu watano | Matukio ya Kisiasa | DW | 31.10.2011
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Kisiasa

Shambulio la anga huko Somalia lauwa watu watano

Shambulio la anga lililofanywa na majeshi ya Kenya Jumapili limesababisha watu 5 kuuwawa na kuwajeruhi wengine 45, wengi wakiwa wanawake na watoto, katika kambi ya watu ambao wamekimbia makaazi yao kutokana na njaa.

default

Shambulio la majeshi ya Kenya lasababisha watu 5 kuuwawa.

Kwa nini maafa kama haya hutokea mara kwa mara katika maeneo ya vita . Sekione Kitojo alimuuliza Suala hili mtafiti mwandamizi katika taasisi ya utafiti wa masuala ya usalama Emmanuel Kisyang'ani ambaye alikuwa na haya ya kusema.

Mwandishi : Sekione Kitojo

Mhariri : Josephat Charo.

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com