Shahada si kizuizi kufanya kazi ya bodaboda | Vijana Mubashara - 77 Asilimia | DW | 16.05.2018
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Vijana Mubashara - 77 Asilimia

Shahada si kizuizi kufanya kazi ya bodaboda

Licha kuwa ana shahada ya kwanza katika ualimu, kijana huyu hachelei kufanya kazi ya kuendesha bodaboda. Hali hii ni kutokana na ukosefu wa nafasi za ajira. Anasema kazi hii inayakidhi mahitaji yake na anaendelea kupata maendeleo maishani. tazama video ujue mengi zaidi. Ni katika makala Vijana Mubashara 77Asilimia

Tazama vidio 02:36
Sasa moja kwa moja
dakika (0)