Shaban: Serikali inajitolea kuboresha mazingira ya biashara | Media Center | DW | 16.03.2021
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Shaban: Serikali inajitolea kuboresha mazingira ya biashara

Waziri wa biashara na viwanda Zanzibar Omar Said Shaban anasema amechukua mikoba ya wizara hiyo katika wakati ambapo utawala umeonyesha maono makubwa ya biashara. Katika mahojiano na Mohammed Khelef, waziri Shaban anaeleza faraja yake ya kuongoza wizara hiyo na kuahidi kujitolea kwake kuhakikisha ufanisi wa wizara hiyo muhimu.

Sikiliza sauti 09:34