Serikali yaanza Operesheni ya bomoabomoa mjini Kinshasa,Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo | Masuala ya Jamii | DW | 10.07.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Masuala ya Jamii

Serikali yaanza Operesheni ya bomoabomoa mjini Kinshasa,Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo

Serikali nchini Kongo inaanzisha operesheni ya bomoabomoa ya makazi yaliyojengwa kiholela mjini Kinshasa.

Huu ni mtaa mjini Kinshasa

Huu ni mtaa mjini Kinshasa

Zaidi ya maeneo 130 yanalazimika kubomolewa ili kuimarisha mazingira ya mji huo ulio na wakaazi zaidi ya milioni 10. Wakati huo huo mamia ya wanajeshi na familia zao wameondolewa kwenye makaazi ya serikali waliokuwa wakiishi mjini humo huo, na kupelekwa katika kambi mpya mashariki.

Maelezi zaidi na mwandishi wetu Saleh Mwanamilongo kutoka Kinshasa.

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com