Serikali ya Umoja wa Kitaifa yaadhimisha Mapinduzi ya 1964 | Wafanyakazi wa Idhaa ya Kiswahili | DW | 12.01.2011
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Timu Yetu

Serikali ya Umoja wa Kitaifa yaadhimisha Mapinduzi ya 1964

Leo imetimia miaka 47 tangu Mapinduzi ya Zanzibar ya mwaka 1964, na maadhimisho ya mwaka huu ni muhimu kutokana na kuwa ya kwanza toka kuundwa kwa Serikali ya Umoja wa Kitaifa visiwani humo kufuatia uchaguzi uliopita.

default

Rais wa Zanzibar Dr.Ali Mohamed Shein

Halima Nyanza amezungumza na mwandishi wetu aliyepo Unguja Mjini, Salma Said, aliyehudhuria sherehe hizo katika uwanja wa Amani, ambaye anazungumzia hali ilivyokuwa uwanjani hapo.

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com