Serikali ya Ujerumani yatoa msaada DRC | Matukio ya Kisiasa | DW | 08.12.2008
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Matukio ya Kisiasa

Serikali ya Ujerumani yatoa msaada DRC

Serikali ya ujerumani imeelezea nia yake ya kuendelea kuunga mkono serikali ya DRC katika kufikia maendeleo nchini Kongo.

Naibu Waziri wa uhusiano, kiuchumi na maendeleo wa Ujerumani Bw. Erich Stather

Naibu Waziri wa uhusiano, kiuchumi na maendeleo wa Ujerumani Bw. Erich Stather

Naibu waziri wa kwenye wizara ya uhusiano wa kiuchumi na maendeleo wa ujerumani Erich Stather amesaini mjini Kinshasa na serikali ya nchi hiyo mkataba wa Euro 72.5 milioni ya msaada wa kiutu,huduma ya maji safi kwa wananchi wa mashamabani na ulinzi wa mazingira.


Taarifa kamili na mwandishi wetu Saleh Mwanamilongo.

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com