1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Serikali Uholanzi yajiuzulu kwa kashfa ya mafao ya watoto

Daniel Gakuba20 Januari 2021

Kashfa inayohusu mfumo wa mafao ya watoto nchini Uholanzi, imeilazimisha serikali nzima ya nchi hiyo kujiuzulu, katika uwajibikaji wa kisiasa.

https://p.dw.com/p/3oAQI