1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Serikali ya Tanzania yakuchunguza madai ya ufisadi

Mjahida 3 Desemba 2015

Serikali ya Tanzania imeanza uchunguzi dhidi ya benki ya Stanbic na kampuni ya Egma kutokana na udanganyifu wa riba ya mkopo wakati serikali hiyo ilipokopa dola milioni 600 kutoka benki ya Standard ya Uingereza.

https://p.dw.com/p/1HGHM
Zitto Kabwe
Picha: DW

[No title]