1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Tanzania yapokea vyema kauli ya Ujerumani kuhusu ukoloni

Sudi Mnette
6 Aprili 2023

Serikali ya Tanzania imesema imeipokea vyema kauli ya serikali ya Ujerumani ya kuonesha utayari wa kukubali kuwajibika kutokana na madhila ya ukoloni wa kipindi cha iliyokuwa Tanganyika, kama ilivyoanzisha mchakato huo kwa Namibia na maeneo mengine barani Afrika. DW imezungumza na Katibu Mkuu katika Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo huko Tanzania, Saidi Othman Yakub.

https://p.dw.com/p/4P1fW