1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Waliokufa kwa ajali ya boti DRC wapindukia watu 100.

4 Oktoba 2024

Siku moja baada ya kutoka ajali mbaya ya boti nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, serikali imeanzisha uchunguzi wa ajali hiyo huku idadi kamili ya watu waliokufa ikiwa bado hajifahamika na miili zaidi ikitangazwa kuopolewa. Raia katika eneo la Mashariki ya Kongo wanapendelea kutumia usafiri wa boti kwa kujiepusha na athari za uasi katika maeneo ya barabara.

https://p.dw.com/p/4lQ7e