1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Serikali kuwasaidia albino Uganda

20 Juni 2018

Spika wa Bunge la Uganda Rebecca Kadaga ameahidi atashinikiza kuwepo sheria za kulinda wenye ulemavu wa ngozi, ikiwemo kutoa vifaa vya bure kwa wanafunzi kama vile miwani ya kuwakinga dhidi ya jua, vipodozi na kofia.

https://p.dw.com/p/2zwT8
Spika wa bunge la Uganda, Rebecca Kadaga
Picha: DW/ Emmanuel Lubega

J3.13.06.2018 International Albinism Day - MP3-Stereo