1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Serengeti, vivutio vyake na vitisho dhidi yake

Charles Ngereza16 Novemba 2018

Hifadhi ya taifa ya Serengeti nchini Tanzania pamoja na hifadhi ya Masai Mara nchini Kenya ni maarufu kutokana na safari za nyumbu wanaovuka kutoka hifadhi moja hadi nyingine. Lakini wataalam wanasema mambo yameanza kubadilika. Charles Ngereza anakusimulia zaidi kwenye makala ya Mtu na Mazingira.

https://p.dw.com/p/38OuS