1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Semina ya zana za Atomiki mjini Mombasa,Kenya

9 Julai 2008

Wanasayansi kutoka mataifa 14 barani Afrika na Ulaya wanakutana mjini Mombasa, Kenya, kutafuta mbinu za kuimarisha usimamizi wa matumizi bora ya zana za atomiki katika kanda ya Afrika Mashariki.

https://p.dw.com/p/EZFs

Kongamano hilo, linalofadhiliwa na Shirika la Umoja wa Mataifa kuhusu masuala ya Atomiki, linalenga kuyaleta pamoja mataifa ya bara la Afrika katika juhudi za kubuni mikakati ya kukabiliana na utupaji movyo wa malimbikizi au kuingizwa bidhaa zenye miunzi ya nusu shishi.

Mwandishi wetu wa Mombasa, Eric Ponda, ametutumia ripoti ifuatayo: