1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Sema Uvume : Ramani za Kidijitali na Tamasha la Dakar

Yusra Abdallah Buwayhid10 Desemba 2019

Katika kipindi cha Sema Uvume Yusra Buwyahid anaangazia onyesho la Kidijitali la Dakar huko Senegal na ramani za dijitali zenye uwezo wa kuonyesha ziara halisi ya mbuga za wanyama huko nchini Kenya.

https://p.dw.com/p/3UYmT