Sekta ya filamu yapanuka Ethiopia licha ya udhibiti mkali ya serikali | Media Center | DW | 29.01.2018
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Sekta ya filamu yapanuka Ethiopia licha ya udhibiti mkali ya serikali

Sekta ya filamu nchini Ethiopia inatengeneza filamu kadhaa za vichekesho vya kimapenzi na sasa kuna vijana wachache wanaobahatika kujiunga na Chuo cha Filamu na Televisheni cha Blue Nile ambako wanapata fursa ya kutengeneza filamu za kiwango cha juu kwa kutumia bajeti ndogo.

Tazama vidio 03:48
Sasa moja kwa moja
dakika (0)