Sayon Bamba ni mwanamuziki wa Conakry aliyefungua chuo cha muziki ili kuwafunza muziki wanawake vijana | Anza | DW | 18.11.2015
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Anza

Sayon Bamba ni mwanamuziki wa Conakry aliyefungua chuo cha muziki ili kuwafunza muziki wanawake vijana

Sayon Bamba, mwanamke katika biashara ya muziki nchini Guinea, ambayo imetawaliwa zaidi na wanaume, ameamua kuweka kando changamoto alizokumbana nazo wakati anasomea muziki, na badala yake kuanzisha chuo katika mji mkuu Conakry, kinachowawezesha wanawake ambao wamekutana na ubaguzi katika sekta ya muziki iliyotawaliwa na wanaume.

Tazama vidio 03:06