1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Saratani: Tatizo la Afrika linalozidi kuwa kubwa

Iddi Ssessanga
23 Desemba 2018

Saratani husababisha karibu kifo kimoja kati ya sita duniani. Barani Afrika, saratani inayoathiri watu wengi ni ya maziwa, njia ya uzazi na tezi dume. Lakini ugonjwa huo unaweza pia kutibika. Jifunze mengi kuhusu saratani katika vidio hii.

https://p.dw.com/p/3AZRL