1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Sarajevo. Rais wa Bosnia afariki.

1 Oktoba 2007
https://p.dw.com/p/CBLA

Rais wa Bosnia Milan Jelic amefariki dunia kutokana na mshtuko wa moyo jana Jumapili jioni akiwa na umri wa miaka 51. Jelic alichaguliwa kuchukua wadhifa huo mwaka jana. Mjini Belgrade , rais wa Serbia Boris Tadic alimtaja Jelic kuwa ni rais bora na rafiki wa kweli wa Serbia.