SANTIAGO : Moto wauwa wafungwa 29 gerezani | Habari za Ulimwengu | DW | 05.11.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

SANTIAGO : Moto wauwa wafungwa 29 gerezani

Moto ambao uliwashwa kwa makusudi kwenye gereza kaskazini mwa Argentina umeuwa takriban wafungwa 29.

Moto huo uliwaka kwenye gereza hilo baada ya wafungwa wanaopinga mazingira ya mahabusu kuyatia moto magodoro yao.

Gereza hilo la mkoa lina wafungwa wapatao 500.

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com