Sanaa ya Uganda yapata muelekeo mpya | Mada zote | DW | 15.01.2014
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

Sanaa ya Uganda yapata muelekeo mpya

Soko la sanaa ya Uganda ni dogo, kwani wasanii hutoa kazi zinazopendwa na kununuliwa na watalii tu. Hili halitowi nafasi ya ubunifu. Kitabu cha Kumbukumbu ya Sanaa ya Uganda 2014 huenda kikabadili hayo.