Sanaa au Sayansi? Macho ndio yanajua | Mada zote | DW | 18.05.2017
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Masuala ya Jamii

Sanaa au Sayansi? Macho ndio yanajua

Mwaka huu tuzo ya "Wellcome Image" imesheherekea miaka 20, kama hujawahi kuisikia, wakati ndio huu. Picha hizi inatupa fursa ya kuona dunia ya sayansi, na jicho ikiwa ndio madakuu.