San Francisco: Wakaazi katika wilaya tano za California wanatakiwa wabakie majumbani kutokana na hewa chafu iliosababishwa na moto uliotokea. | Habari za Ulimwengu | DW | 28.10.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

San Francisco: Wakaazi katika wilaya tano za California wanatakiwa wabakie majumbani kutokana na hewa chafu iliosababishwa na moto uliotokea.

Huko Marekani, wakaazi walioathirika na moto uliotokea katika mkoa wa California wameonywa juu ya hewa chafu.

Wakaazi katika wilaya tano za kusini za mkoa huo wamehimizwa wabakie majumbani kwa vile uchafu wa hewa umezidi mara tatu ya kima cha kawaida. Si chini ya watu 14 wamekufa kutokana na moto uliotokea katika mkoa huo hivi karibuni.

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com