Safari ya Puto Amboseli | Media Center | DW | 28.07.2021
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Safari ya Puto Amboseli

Safari za kutumia maputo ya hewa ya moto zinapata umaarufu katika Hifadhi ya Kitaifa ya Amboseli. Puto linaweza kuruka hadi mita 20 kutoka ardhini, na hivyo kuwapa watalii fursa nzuri ya kuwatazama tembo na kuyafikia maeneo ambayo gari haliwezi kwenda.

Tazama vidio 01:52