SADC yawezesha mazungumzo DRC | Matukio ya Afrika | DW | 12.10.2016
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Waziri Mahiga aeleza

SADC yawezesha mazungumzo DRC

Ujumbe wa Mawaziri wa Mambo ya Nje wa nchi tatu za tume ya kisiasa na kiusalama ya Jumuiya ya Kiuchumi ya Nchi za Kusini mwa Afrika, SADC, umekutana na Rais Kabila, vyama vya siasa na mashirika ya kiraia.

Sikiliza sauti 03:46

Mahojiano na Waziri Augustine Mahiga

Saleh Mwanamilongo amefanya mahojiano na kiongozi wa ujumbe huo, Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania, Augustine Mahiga. 

Sauti na Vidio Kuhusu Mada