Rwanda: Viongozi wa dini wazungumzia usalama | Matukio ya Afrika | DW | 26.05.2016
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Matukio ya Afrika

Rwanda: Viongozi wa dini wazungumzia usalama

Viongozi wa dini kwenye eneo la maziwa makuu wasema ukosefu wa jukwaa la mazungumzo kati ya serikali za mataifa wasababisha kuwepo kwa visa vya mauaji na usalama mdogo kwenye nchi za maziwa makuu.

Sikiliza sauti 02:20

Ripoti ya Sylivanus Karemera kutoka Kigali

Viongozi hao wanaokutana mjini Kigali Rwanda wanasema viongozi wa kiroho wanakabiliwa na tatizo la kunyimwa na serikali nafasi ya mazungumo huku wanasiasa wakiwa vyanzo vya mizozo.
Sikiliza ripoti ya mwandishi wetu Sylivanus Karemera kutoka Kigali, Rwanda.

Sauti na Vidio Kuhusu Mada