Rwanda: Hatutamkamata Omar al Bashir | Matukio ya Afrika | DW | 14.07.2016
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Matukio ya Afrika

Rwanda: Hatutamkamata Omar al Bashir

Katika mkutano wa Umoja wa Afrika unaofanyika Kigali, Waziri wa Mambo ya Nje wa Rwanda, Louise Mushikiwabo, ametangaza nchi yake haiko tayari kumkamata Rais wa Sudan atakapohudhuria kikao cha marais.

Sikiliza sauti 02:52

Ripoti ya Sylivanus Karemera kutoka Kigali

Sauti na Vidio Kuhusu Mada