Ruto apigwa kumbo na Jubilee | Media Center | DW | 16.03.2021
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Ruto apigwa kumbo na Jubilee

Halmashauri Kuu ya Chama tawala nchini Kenya, Jubilee imepitisha uamuzi wa kumuondoa katika wadhifa wake Naibu Mkuu wa chama hicho Makamu wa Rais William Ruto. Kwa uamuzi huo hatma yake katika chama hicho ipo mikononi mwa Mkuu wa Chama, Rais Uhuru Kenyatta. Sikiliza mahojiano ya Sudi Mnette na mchambuzi wa siasa za Kenya Brian Singoro Wanyama juu ya suala hilo.

Sikiliza sauti 02:47